بسم الله الرحمن الرحيم TAMTA DAY TAMTA DAY TAMTA DAY MAADHIMISHO YA ELIMU YA DINI YA KIISLAMU KATIKA CHUO KIKUU CHA WALIMU WA KIISLAMU TANZANIA (TAMTA MADRASAT SHAMSIYYAH) TUNAYOFURAHA KUWAALIKA WAISLAMU WOTE KUHUDHURIA KATIKA SHEREHE HIZO KWA MWAKA HUU WA 2017 1)TAMTA INATIMIZA MIAKA 60 TOKA KUANZISHWA KWAKE 1957-2017 2)MADRASAT SHAMSIYYAH TOKA KUFUNGULIWA NA ALHABIB OMAR BIN SUMAIT KUTIMIZA MIAKA 54 (1962-2017) SHEREHE HIZO ZINATARAJIWA KUANZA TAREHE 27/6/2017 CHINI YA UONGOZI WA MUDIR ,SHEIKH MUHAMMAD BIN KHATWIB (KIGODA) TAREHE 27/6/2017:-DUA ASUBUHI 1:00 PAMOJA NA KUMZURU SHEIKH MUHAMMAD BIN SHEIKH AYYOUB,ZIARA MCHANA KUELEKEA MNYANJANI PAMOJA NA MAULIDI YA AKINA MAMA USKU 3:30 TAREHE 28/6/2017:- MAULIDI YA MATAWI JIONI 10:00 PAMOJA MANESHO YA WANAFUNZI WA KIKE USIKU 3;00 TAREHE 29/6/2017:- SAMAI YA WANAFUNZI WA MAKAO MAKUU JIONI 10:00, MAONESHO YA WANAFUNZI KUTOKA MATAWINI PAMOJA NA HUTUBA ZA WAGENI WAALIKWA USIKU 3:00 TAREHE 30...