ASSALAMU ALAYKUM?
 TAARIFA KUHUSU MAULIDI YA MNYANJANI(MNYANJANI DAY)

Almadrasatul Ayyoubiyyat mnyanjani inayofuraha kuwaalika waislamu wote kuhudhuria katika sherehe za maulidi ya mtume MUHAMMAD(S.A.W),Yatakayofanyika katika kijiji cha mnyanjani wilaya ya tanga mjini,.
kuanzia siku ya juma tatu tareh 19/12/2016 -22/12/2016.
kuhudhuria kwako ndio kufanikisha shughuli hizo.
wako ustaadh;
MUHAMMAD KASIM (KINDILA)
AHSANTENI






















Comments

Popular posts from this blog