MATUKIO MBALIMBALI
ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAATUH
VIJANA wa almadrasatul Shamsiyyat wakiwa katika shughuli za kusherehekea mazazi ya Mtume MUHAMMAD (s.a.w) katika kijiji cha Mwambani wilaya ya Tanga Mjini.Hafla hiyo ilidhuriwa na viongozi mbalimbali wa DINI akiwemo sheikh, MUHAMMAD KHATWIBU (KIGODA) ambae ni mudiri wa madrasa hiyo, sheikh Ramadhani Mabrouk(naibu mudiri), sheikh Husein Hashimu na walimu mbalimbali kutoka sehemu tofauti.
SHEIKH KIGODA AKIWA KATIKA HADHARA HIYO
MWALIMU WA MADRASA HIYO NA WANAFUZI WAKIWA KATIKA ZAFA
KWAKWELI HADHARA ILIPAMBIKA VILIVYO
USTAADH ALLY TAJIRI (MWAKIDOSHO) AKIWA MAKINI KATIKA SHUGHULI HIYO PAMOJA NA USTAADH OMARI HAMZA
Comments
Post a Comment