AYYOUBIYYAH DAY IMEANZA RASMI LEO HII.

Leo ni cku ya kuanza kwa shughuli za madrasat Ayyoubiyyat mzingani ambazo zimefunguliwa rasmi asubuhi ya leo kwa visomo na dua mbalimbali. Zilizoongozwa na shekh Kogoda(shekh Muhammad khatwibu)  pamoja na NAibu wake shekh Ramadhwaani Mabrook. Shughuli hizo zinatarajiwa kuendelea jioni ya leo baada ya swala ya alasiri na khayimae kufikia hapo kesho saa 5 ucuku ambapo zitafungwa rasmi mpaka mwakani inshaalla.

WAISLAMU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA MKIWA NI WAPENZI WA MTUME.
picha za matukio mbali mbali katika ufunguzi huo.

KARIBUNI SANA KARIBUNI PALIPO PENU.

Comments

Popular posts from this blog