Posts

Showing posts from April, 2017
Image

ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAATUH.

        *I  J  U  M  A  A* Miongoni mwa fadhila za siku ya *IJUMAA* Ktk Ummah wa KIISLAM *(qadiim)* Waliikosea mayahudi *siku hii* wakachagua jumamosi!! Waliikosea manaswara *siku hii* wakachagua jumapili!!! ALLAH AKATUONGOZA WAISLAM KUIPATIA SIKU HII YA *IJUMAA* *IJUMAA* Ni siku ALLAAH alimuumba Aadam,  pia ndio siku alimuingiza ktk Jannah,  ndio siku aliyolewa yeye na Mama Hawwaa kutoka ktk Jannah... *IJUMAA* ndio siku ALLAAH alimswaameh baba yetu Aadam. .. *IJUMAA* NDIO SIKU QIYAAMA KITASIMAMA *IJUMAA* ndio siku bora zaid kuliko masiku mengine yanayochomozewa na jua, bali ni SIKU ya ibadaadaat... *IJUMAA* Kuna Saa (muda ambao ndani yake Allaah anakubali zaidi duaa) Amesema Mtume swallallaahu 'alayhi wa sallam ...hakika miongoni mwa masiku yenu yaliokuwa bora, ni siku ya *IJUMAA* basi kithirisheni kuniswalia mimi, hakika swala zenu zinanifikia.... *Na faida nyinginezo ktk khutba hii....*   ...
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/HoMg3POxCKn2RXY7U5VNsw