ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAATUH.

        *I  J  U  M  A  A*

Miongoni mwa fadhila za siku ya *IJUMAA* Ktk Ummah wa KIISLAM
*(qadiim)*

Waliikosea mayahudi *siku hii* wakachagua jumamosi!!

Waliikosea manaswara *siku hii* wakachagua jumapili!!!

ALLAH AKATUONGOZA WAISLAM KUIPATIA SIKU HII YA *IJUMAA*

*IJUMAA* Ni siku ALLAAH alimuumba Aadam,  pia ndio siku alimuingiza ktk Jannah,  ndio siku aliyolewa yeye na Mama Hawwaa kutoka ktk Jannah...

*IJUMAA* ndio siku ALLAAH alimswaameh baba yetu Aadam. ..

*IJUMAA* NDIO SIKU QIYAAMA KITASIMAMA

*IJUMAA* ndio siku bora zaid kuliko masiku mengine yanayochomozewa na jua, bali ni SIKU ya ibadaadaat...

*IJUMAA* Kuna Saa (muda ambao ndani yake Allaah anakubali zaidi duaa)

Amesema Mtume swallallaahu 'alayhi wa sallam ...hakika miongoni mwa masiku yenu yaliokuwa bora, ni siku ya *IJUMAA* basi kithirisheni kuniswalia mimi, hakika swala zenu zinanifikia....

*Na faida nyinginezo ktk khutba hii....*

                  KHUTBA
           •┈•┈•.┈•••✦⚪✦•••.┈•┈•┈•

Comments

Popular posts from this blog