ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAATUH


Amesema ALLAH  haliyakuwa ametukuka:- "Enyi ambao mlioamini, hakika mmefaradhishiwa kufunga kama ambavyo walifaradhiwa waliokuwa kabla yenu kwenda mkamcha mola wenu" {baqarah}
   
 kutokana na aya hii, tunapaswa kufahamu kuwa;-
  • kufunga ni lazima kwa kila muislam.\
  • funga inamuandaa mjaa kuwa mchamungu
  • funga inajenga huruma na mapenzi kati ya mja na mja
  • funga ndio njia ya  mja kujikurubisha kwa mola wake
Kwahiyo nni wajibu kwa kila muislamu mwenye uwezo juu ya kufunga kutekeleza ibada hii.

       MATBAAT AYYOUBIYYAT SHAMSIYYAHT

Comments

Popular posts from this blog