AL- MADRASAT AYOUBIYYAT SHAMSIYYAT MNYANJANI
Inawatangazia waislamu wote kuhudhuria katika sherehe za kuadhimisha elimu ya dini ya kiislamu, pamoja na maulidi makubwa ya kusifu mtume Muhammad (s.a.w).
Kuanzia tarehe 3/12/2018 mpaka kufikia kilele cha sherehe hizo tarehe 6/12/2018.
Usikose kuhudhuria tukio muhimu la kihistoria siku ya Jumatatu tarehe 3 baada ya swala ya Alasiri !!! Ambalo ni tukio la kuashimisha miaka 50.
KARIBUNI SANA.
Shukran
Comments
Post a Comment