ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH Alhamdulillahi. mpaka sasa hivi ni shughuli ya maonyesho ndio imemalizika. tunawakaribisha katika samai maalum itakayo anza baada ya swala ya ishaaa. KAEIBUNI NYOTE
Posts
Showing posts from December, 2018
- Get link
- X
- Other Apps

السلام عليكم ورحمة االله وبركاته BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIYM ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH AL-MADRASAT AYYOUBIYYAT MZINGANIL-AALAA . S.L.P 2295,TANGA,/www.ayubiya.blogspot.com/ayubiyat@gmail.com TUNAYOFURAHA KUKUALIKA WEWE NA WAISLAMU WOTE KATIKA SHEREHE ZA KUADHIMISHA ELIMU YA DINI YA KIISLAMU PAMOJA NA MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W), ZITAKAZOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MADRASA KARIBU YA DUNIA HOTELI. RATIBA YA SHUGHULI SIKU TAREHE MUDA TUKIO JUMAPILI 23/12/2018 2:00 ASUBUHI KUPANDISHA BENDERA YA MAADHIMISHO KWA DUA MAALUMU 1:00 USIKU MAONYESHO YA MADA MBALIMBALI 2:00 USIKU MAULIDI YA WANAWAKE SAMAI YA AIANA YAKE JUMATATU 24/12/2018 10:30 JIONI ZAFA YA KUKATA KWA SHOKA 2:00 ...
AL- MADRASAT AYOUBIYYAT SHAMSIYYAT MNYANJANI
- Get link
- X
- Other Apps
Inawatangazia waislamu wote kuhudhuria katika sherehe za kuadhimisha elimu ya dini ya kiislamu, pamoja na maulidi makubwa ya kusifu mtume Muhammad (s.a.w). Kuanzia tarehe 3/12/2018 mpaka kufikia kilele cha sherehe hizo tarehe 6/12/2018. Usikose kuhudhuria tukio muhimu la kihistoria siku ya Jumatatu tarehe 3 baada ya swala ya Alasiri !!! Ambalo ni tukio la kuashimisha miaka 5 0. KARIBUNI SANA. Shukran